Habari za Punde

*KINANA, DIAMOND WAFUNIKA MKUTANO WA HADHARA MBELE YA MAELFU YA WANANCHI MJINI MOROGORO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akiwahutubia wananchi katika Uwanja wa Ndege (zamani sabasaba) mjini Morogoro wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika leo,mjini Morogoro , ikiwa ni hitimisho la ziara yake ya siku nane aliyofanya katika wilaya sita za mkoani Morogoro. 
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akiwahutubia wananchi katika Uwanja wa Ndege (zamani sabasaba).
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul 'Diamondi' akishambulia jukwaa wakati wa mkutano huo wa hadhara wa CCM uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Morogoro leo, wakati wa hitimisho la ziara ya siku nane katika wilaya sita za mkoa wa Morogoro ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulhaman Kinana.
  Baadhi ya maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa CCM kwenye Uwanja wa Kiwanja cha Ndege wa mjini Morogoro, wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili Uwanjani hapo, leo.

Msanii Nasibu Abdul 'Diamondi' akiwa amebebwa na wasanii wake kukoleza manjonjo alipotumbuiza kwenye mkutano wa hadhara wa CCM, mjini Morogoro.Picha na Bashir Nkoromo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.