| Rais wa IBF Africa, Onesmo Ngowi (katikati) akionyesha mzani uliotumika kupima uzito wa mabondia Thomasi Mashali (kushoto) na Fransic Cheka (kulia) wakati wa zoezi la upimaji uzito na afya lililofanyika leo mchana jijini Dar, kwa ajili ya maandalizi ya pambano lao la kuwani ubingwa litakalochezwa kesho kwenye Ukumbi wa PTA Sabasaba. Wa pili (kulia) ni Promota wa pambano hilo, Adamu Tanaka. Mshindi katika pambano hilo la kesho kati ya Mashali na Cheka, atakabidhiwa gari aina ya Noah. Picha na Super D |
No comments:
Post a Comment