*Ligi Daraja la Pili Mkoa wa Dar es Salaam, hatua ya sita bora imeanza leo katika viwanja vitatu na matokeo ni kama ifuatavyo:
Uwanja wa Makurumla- Red Coast imeifunga Abajalo FC 1-0. Bao hilo limefungwa na Rashid Juma.
Uwanja wa Airwing-Shariff Star imeifunga Boom FC 1-0. Bao hilo limefungwa na Mandewa Mrutu ‘Niyonzima’.
Uwanja wa Kinesi-Friends Rangers vs Day Break hazikufungana
Mohamed Mharizo
Ofisa Habari Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA)
No comments:
Post a Comment