Habari za Punde

*MELESIANA HAMISI ALIVYOMEREMETA ABATIZWA KATIKA IBADA YA MKESHA WA PASAKA

 Mhashamu Askofu Mkuu Msaidizi wa jimbo kuu la Dar es Salaam, Ausideus Nzigilwa (kulia) akimuwashia mshumaa, Melesiana Hamisi,  ikiwa ni ishara ya mwanga wa Kristu  wakati wa Ibada ya Mkesha wa Pasaka  uliofanyika katika Kanisa la Mtatifu Petro, mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo Jumla ya watu 20 walipata sakaramenti ya Ubatizo na Kipaimala katika Kanisa hilo.
Mhashamu Askofu Mkuu Msaidizi wa jimbo kuu la Dar es Salaam, Ausideus Nzigilwa, akimmwagia maji ya ubatizo, Melesiana Hamisi, wakati wa ibada ya mkesha wa Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo jumla ya watu 20 walipata sakaraenti ya ubatizo na Kipaimala.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.