Habari za Punde

*MGAMBO JKT INAONGOZA 1-0 DHIDI YA YANGA

Kiungo mkabaji wa Yanga, akiwatoka mabeki wa Mgambo JKT, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu, mzunguko wa kwanza uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, ambapo Yanga ilishinda mabao 2-0. Mchezo wa mzunguko wa pili baina ya timu hizo unaochezwa kwenye Uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga, Mgambo JKt inaongoza bao 1-0, lililofungwa na Issa Kanduru, katika dakika ya 43. Sasa ni kipindi cha pili.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.