Rais Mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassan Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati alipozungumzia swala uhalali wa kuchinja ambalo limekuwa ni gumzo sana hapa nchini kwa kipindi cha hivi karibuni.

Baadhi ya wanahabari waliofika nyumbani kwa Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, jijini Dar es Salaam, leo katika mkutano huo.
No comments:
Post a Comment