Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava, akifungua Kikao cha wadau kuhusu kanuni za matumizi salama ya Bioteknolojia ya kisasa, kikao hicho kilihusisha wanasanyansi, wanasheria, Mtandao wa wawakilishi wa wakulima na Taasisi za Mbegu.
Baadhi ya Wadau wakifuatilia mjadala, katika kikao kazi kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam leo.
Wadau wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu Eng. Ngosi Mwihava mara baada ya ufunguzi wa Kikao kazi cha wadau kuhusu kanuni za matumizi salama ya Baiotoknolojia ya kisasa kikao kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Makamuwa Rais Mtaa wa Luthuli JijiniDar es Salaam.Picha na Ali Meja
No comments:
Post a Comment