Habari za Punde

*NAPE AFUNGUA SEMINA YA HALMASHAURI KUU YA CCM MKOA WA KILIMANJARO LEO

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akifungua Semina ya Halmashauri Kuu ya CCM mkoa wa Kilimanjaro, leo katika ukumbi wa VETA mjini Moshi. 
 Wajumbe wakimshangilia Nape alipofungua kikao cha Halmashauri Kuu ya CCm, mkoa wa Kilimanjaro katika ukumbi wa VETA mjini Moshi,
 Wakuu wa wilaya za mkoa wa Kilimanjaro, wakijitambulisha kwenye semina ya Halmashauri Kuu mkoa wa Kilimanjaro, katika ukumbi wa VETA mjini Moshi. Kutoka kushoto ni, Charles Mlingwa (Siha), Novatus Makunga (Hai), Elinas Pallangyo (Rombo), Shaibu Ndemanga (Mwanga), Helman Kapufi (Same) na Dk. Ibrahim Msengi (Moshi Mjini). Picha na Bashir Nkoromo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.