Habari za Punde

*SHAMBRA SHAMBRA ZA UZINDUZI MRADI WA UMEME KILOWAT 100 ZANZIBAR LEO



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifunua kitambaa kuweka jiwe la msingi la mradi wa Njia ya Pili ya Umeme wa Kilowat 100,kutoka Ubungo Dar es Salaam mpaka Mtoni,ukiwa umefadhiliwa na Shirika la Misaada la MCC la Marekani,hafla hiyo imefanyika leo mchana mjini Unguja katika kituo kikuu cha kupokelea na kusambaza Umeme cha Mtoni Mjini Zanzibar.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la ‘Millennium Challenge’ MCC, Daniel Yohannes Ceo, kwa pamoja wakikata utepe na kuashiria uzinduzi mradi wa Umeme wa Njia ya Pili ,kutoka Ubungo  Dar es Salaam hadi Mtoni,ukiwa umefadhiliwa na Shirika la Misaada la MCC la Marekani.

Sehemu ya mitambo hiyo ya kufua umeme huo.Zaidi Bofya HAPA Chini

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la ‘Millennium Challenge’ MCC,Daniel Yohannes Ceo,(katikati) na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania ALfonso Lenhardt,wakipata maelezo ya kiutendaji kazi katika kituo kikuu cha umeme kutoka Ubungo Dar es Salaam mpaka Mtoni,kutoka kwa Meneja wa Shirika la Umeme Zanzibar Hassan Ali,(kushoto).
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalis Seif, pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la ‘Millennium Challenge’ MCC,Daniel Yohannes Ceo,(katikati) na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania ALfonso Lenhardt,wakipata maelezo ya kiutendaji kazi katika kituo kikuu cha umeme kutoka Ubungo Dar es Salaam mpaka Mtoni,kutoka kwa Meneja wa Shirika la Umeme Zanzibar Hassan Ali,(kushoto)
 Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la la ‘Millennium Challenge’ MCC,Daniel Yohannes Ceo, kwa pamoja wakibonyesha Alam kuashiria kukamilika kwa uzinduzi huo, wakati wa sherehe za uzinduzi zilizofanyika kwenye Uwanja wa Amani mjini Zanzibar leo mchana.

Wakifurahia kwa kupiga makofi baada ya uzinduzi huo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiondoka uwanjani hapo baada ya kukamilika kwa sherehe hizo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.