Habari za Punde

*TAMASHA LA GRANDMALT CHUO KIKUU CHA ARDHI DAR

Meneja masoko wa kampuni ya bia Tanzania Fimbo Buttala, akizungumza na wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya mkoa wa Dar es salaam kwenye Tamasha ka uzinduzi wa kampeni ya kinywaji cha grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Ardhi jijini Dar es salaam.
Mratibu wa tamasha hilo bwana Victa ndunguru akiongoza ujumbe wa kukagua timu za mpira wa miguu za Chuo kikuu DUCE na chuo kikuu cha Dar es salaa kwenye bonanza hilo lililoshirikisha wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya mkoa wa Dar es salaam kwenye Tamasha ka uzinduzi wa kampeni ya kinywaji cha grandmalt ya kuwashindanisha wanafundi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt,Timu ya chuo kikuu Dar Es Salaam ilishinda kwa 3-1 tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Arthi mkoani Dar es salaam.
 Msanii wa musiki wa kizazi kipya nchini Joh makini akiwapagawisha wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya mkoa wa Dar es salaam kwenye Tamasha ka uzinduzi wa kampeni ya kinywaji cha grandmalt ya kuwashindanisha wanafundi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Ardhi mkoani Dar es salaam.
 Sehemu ya wanachuo waliojitokeza katika Tamasha hiki.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.