Habari za Punde

*VIONGOZI WA IDARA NA TAASISI ZA SERIKALI WAPIGWA MSASA KUHUSU MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA LEO

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora) George Mkuchika, akiwasili kwenye Hoteli ya Blue Peal, Ubungo Plaza, leo asubuhi wakati alipokuwa akiwasili mahala hapo kwa ajili ya kufungua rasmi Mafunzo maalum ya Uongozi kuhusu Maadili ya Viongozi wa Umma, yaliyoandaliwa na Ofisi ya Kamishna wa Maadili. Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyika leo jijini Dar es Salaam, na kuwashirikisha maofisa wa Taasisi mbalimbali za Serikali na Wizara.
 Baadhi ya Maofisa kutoka Ofisi ya Rais Ikulu, wakiimba wimbo wa Tanzania, kuonyesha uzalendo wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
 Baadhi ya Maofisa kutoka Ofisi ya Rais Ikulu, wakiimba wimbo wa Tanzania, kuonyesha uzalendo wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
 Baadhi ya Maofisa kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, wakiimba wimbo wa Tanzania, kuonyesha uzalendo wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.

  Baadhi ya Maofisa kutoka Idara mbalimbali za Serikali, wakiimba wimbo wa Tanzania, kuonyesha uzalendo wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
  Baadhi ya Maofisa wa Idara tofauti tofauti kutoka Ofisi ya Rais Ikulu na Ofisi ya Makamu wa Rais, wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa ukumbini hapo.
 Baadhi ya Maofisa wa Idara tofauti tofauti kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa ukumbini hapo.

 Baadhi ya Maofisa wa Idara tofauti tofauti kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa ukumbini hapo.
 Ufuatiliaji wa mada......
 Baadhi ya Maofisa wa Idara tofauti tofauti wa Ofisi za Serikali, wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa ukumbini hapo.
 Baadhi ya watoa mada na wadhamini wa mafunzo hayo wakifuatilia kinachoendelea ukumbini hapo.
 Baadhi ya Maofisa wa Idara tofauti tofauti kutoka Ofisi ya Rais Ikulu, wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa ukumbini hapo.
 Baadhi ya Maofisa wa Idara tofauti tofauti kutoka Taasisi za Serikali, wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa ukumbini hapo.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Mhe. George Mkuchika (katikati waliokaa mbele) Kamishna wa Maadili, Salome Kaganda na baadhi ya viongozi na watoa mada, wakiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na washiriki wa mafunzo hayo kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, baada ya ufunguzi rasmi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Mhe. George Mkuchika (katikati waliokaa mbele) Kamishna wa Maadili, Salome Kaganda na baadhi ya viongozi na watoa mada, wakiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na washiriki wa mafunzo hayo kutoka Ofisi Rais, Ikulu baada ya ufunguzi rasmi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.