Waziri Mkuu Mtaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdurahaman Kinana wakati walipo kutana katika eneo la ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam hivi karibuni.Picha na Chris Mfinanga.
MAMBO YANOGA UKURASA MPYA WA HAKI KUENDANA NA WAKATI
-
Katika ulimwengu wa sasa unaokwenda kwa kasi ya mwanga, sheria ambazo
haziendani na wakati ni sawa na nanga inayozuia meli ya maendeleo kung'oa
nanga....
25 minutes ago
No comments:
Post a Comment