Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu Hassan, akionyeshwa aina mbali mbali za Passpoti ambazo zinatumika hapa Nchini na Mkuu wa Kitengo cha Uzalishaji Passpoti na Ukaazi, Haji Hamza Khamis, wakati wa Ziara ya kutembelea Taasisi za Muungano zilizopo Zanzibar, leo. Zaidi Bofya HAPA chini
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu Hassan, akionyeshwa Vibali vya Ukaazi Nchini na Mkuu wa Kitengo cha kuzalishia Passpot na Ukaazi Haji Hamza wakati wa Ziara ya kutembelea taasisi za Muungano ziliopo Zanzibar leo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Mwinchumu Hassan Salum (kushoto) wakati akiwa kwenye chumba cha Kutunzia Kumbu kumbu za Nyaraka za Kuzaliwa kwenye Ofisi za Uhamiaji Zanzibar leo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu Hassan, akionyeshwa Vibali vya Ukaazi Nchini na Mkuu wa Kitengo cha kuzalishia Passpot na Ukaazi Haji Hamza, wakati akiwa katika Ziara ya kutembelea taasisi za Muungano ziliopo Zanzibar, leo. Picha na Ali Meja
No comments:
Post a Comment