Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika Aprili 17, 2013, kwenye Uwanja wa shule ya Msingi, Umoja mjini Kilosa mkoani Morogoro.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisaini kitabu cha wageni kwenye Shina la wajasiriamali wakereketwa wa CCM la Dinima, Kilosa, mkoani Morogoro, alipofika kwenye shina hilo akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama kwenye tawi hilo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na wanachama wa CCM shila namba 15, tawi la CCM Mbuni B, Kilosa, akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani mkoani Morogoro.
Katibu wa NEC, Itrikadi na Uenezi, Nape Nnauye (Kushoto), akiwa na wanachama wa shina namba 15, tawi la CCM, Mbuni B, Kilosa, wakati Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) alitembelea shina hilo na kuzungumza na wanachama hao akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa ilani ya CCM.
KILIMO KWANZA: Katibu wa NEC, Oganaizesheni Mohamed Sif Khatib akitazama mahidi yalivyostawi kwenye shamba la mkulima maarufu wa wilayani Kilosa mkoani Morogoro.
Picha Bashir Nkoromo
Picha Bashir Nkoromo




No comments:
Post a Comment