Habari za Punde

*MAMA SALMA KIKWETE AKIWA KWENYE MKUTANO WA WAKE WA MARAIS WA AFRIKA-OAFLA

 Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Jumuia ya Afrika (AU) wakiwa kwenye mkutano wao mkuu wa kawaida huko Addis Ababa tarehe 26.5.2013.  Waliokaa kutoka kulia ni Mke wa Waziri Mkuu wa Madam Roman Tesfaye, Mama Salma Kikwete, Mama Inkhosikati La-Ntentesa, Mke wa Mfalme Mswati III wa Swaziland, Mama Hadidja Aboubaker wa Comoros, Mama Lordina Mahama wa Mke wa Rais John Mahama wa Ghana, Mama Janette Kagame, Mke wa Rais Paul Kagame wa Rwanda na wa mwisho ni Mama Margaret Kenyatta, Mke wa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya. PICHA NA JOHN LUKUWI 
 Baadhi ya wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Jumuia ya Afrika wakiwa kwenye mkutano wao mkuu kwenye Makao Makuu ya Jumuia ya Afrika huko Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 26.5.2013

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.