Wananchi wakishaa gari aina ya RAV4, lililogongwa na Treni maeneo ya Ukonga Mosho Bar, leo asubuhi na kusababisha kifo cha mtu mmoja ambaye alikuwa ni dereva wa gari hiyo huku abiria aliyekuwamo katika gari hilo akielezewa kuwa yu majeruhi aliye mahututi ambaye amewahishwa Hospitali.
Baadhi ya wananchi wa maeneo ya Ukonga, wakishangaa ajali ya gari lililogongwa na Treni na kusababisha kifo cha mtu mmoja asubuhi hii.na dereva (mwanaume)amekufa papo hapo na abiria(mwanamke) yu mahututi.
Wananchi wakishaa gari lililogongwa na Trni asubuhi hii eneo la Moshi Bar Ukonga na kusababisha kifo cha dereva wa gari hilo, aina ya RAV 4. Picha na Pamojapure
No comments:
Post a Comment