Mwamuzi......
Wachezaji Soka......
Wachezaji wakivuja damu....
Waendesha Pikipiki.....
Wanasoka wakiokolewa uwanjani...
*NGUMI NI MCHEZO KAMA MICHEZO MENGINE
Na Ibrahi Kamwe
Ajali katika michezo ni sehemu ya mchezo wenyewe ni kuwafanya wengine walio salama katika sakata hilo waendelee kimakini zaidi.
"Nivutia na kuamua kuaandika kijimakala hiki kwa kumpinga mwandishi alieandika kuwa ngumi ni mchezo wa hatari na kuonesha baadhi ya mabondia wakitokwa na damu.
Mimi ni Ibrahim Kamwe 'bigright', nasema ngumi ni mchezo wa kawaida kama michezo mingine na ikitokea kama bondia kaumia basi ujue ni bahati mbaya au ni ajali za kimichezo ambazo mwanamichezo yoyote inaweza kumkuta aidha kwa bahati mbaya au kwa uzembe wake mchezoni.









No comments:
Post a Comment