Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Galawa akifungua semina ya siku moja kwa wanawake wajasiriamali waislamu iliyoandaliwa na Benki ya NBC Kitengo cha Islamic Banking mjini Tanga leo. Kulia ni Mkuu wa kitengo hicho, Yassir Masoud na kushoto ni Meneja Operesheni wa NBC Tawi la Tanga Kibibi Said Kibao.
Baadhi wa washiriki wa semina ya siku moja iliyoandaliwa na Benki ya NBC Kitengo cha Islamic Banking wakiwa katika semina hiyo jijini Tanga leo.


No comments:
Post a Comment