Wachezaji wa Yanga, akishangilia bao na kumpongeza mwenzao Jerry Tegete, baada ya kuifingia bao timu yake katika dakika za mwanzo za kipindi cha kwanza. Tegete alifunga bao hilo baada ya kuwaramba chenga Beki na Kipa wa Coastal na hatimaye kucheka na nyavu. Coastal nao walisawazisha katika kipindi hicho hicho kwa mpira wa adhabu ndogo uliotinga wavuni moja kwa moja.
Said Bahanuzi wa Yanga (kulia) akimtoka beki wa Coastal, wakati wa mchezo huo. Kaa na ukurasa huu kuletea matokeo kamili ya mtanange huu baadaye.


No comments:
Post a Comment