Habari za Punde

*BONDIA ZUMBA KUKWE AMGALAGAZA HAMADUU MWALIMU NYUMBANI KWAKE

Bondia Zumba Kukwe (kushoto) akimtupia ngumi, Hamaduu Mwalimu wakati wa mchezo wao uliofanyika  kwenye ukumbi wa Temeke Mikoroshini. Kukwe alishina kwa K,o ya raundi ya tatu.
Mwamuzi, Sako Mtlya (katikati) akimhesabia bondia, Hamadu Mwalimu (chini) baada ya kupokea konde zito kutoka kwa Zumba Kukwe (kulia). Kukwe alishina mchezo huo ka K,O ya raundi ya tatu.
Bondia Zumba Kukwe akishangilia ushindi na Kocha wa Mkoa wa Pwani Agostin Uyaga baada ya kumalizika pambano lao.
Bondia Mbena Rajabu (kushoto) na Kassim Rajabu wakipambana wakati wa mpambano wao wa utangulizi.
Matokeo ni Droo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.