Habari za Punde

*HII NDIYO MAHAKAMA YA MAHINDI ILIYOPO DARAJA LA MTO RUVU

 Kina mama wafanyabiashara wa mahindi ya kuchemsha wakiwa katika eneo lao la kujidai karibu kabisa na Daraja la Mto Ruvu, wakiandaa biashara yao hiyo, kwa ajili ya kuwauzia wateja wao ambao asilimia kubwa ni wasafiri wanaopita barabara hiyo ambayo ni mpya inayotumiwa na baadhi ya mabasi na magari yanayoelekea mikoa ya Kaskazini.
 Nyuma yao ni wateja waliosimama eneo hilo ili kupata huduma hiyo pamoja na matunda yanayouzwa eneo hilo.
 Maandalizi.....
Haya ni maduka yaliyopo eneo hilo, karibuni.....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.