Habari za Punde

*JAJI MKUU WA TANZANIA MOHAMED CHANDE OTHMAN AFUNGUA MAFUNZO YA MAHAKIMU WAKAZI JIJINI DAR

 Mh. Jaji Mkuu  wa Jamhuri ya Muunngano wa Tanzania Mohamed Chande Othuman  akiwaasa Hakimu Wakazi alipokuwa anafungua mafunzo ya mahakimu hao yaliyoandaliwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa kushirikiana na Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Afrika Mashariki inayoendelea leo katika hoteli ya Holiday Inn jijini Dar es Salaam.
 Mtaalamu wa Masuala ya Utawala bora wa UNDP Tanzania Grainne Kilcullen akiwaasa Mahakimu Wakazi wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya haki za binadamu na utoaji wa haki yanayofanyika katika hoteli ya Holoday Inn leo jijini Dar es Salaam.
Mweyekiti wa Tume za Haki za Binadamu akionea na baadhi ya waandishi wa habari mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya haki za binadamu na utoaji wa haki  kwa mahakimu wakazi yanayofanyika katika hoteli ya Holoday Inn leo jijini Dar es Salaam.Picha zote na Eleuteri Mangi -Maelezo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.