| Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na viongozi wengine akiwa amekaa baada ya kusimikwa tena kuwa Chifu wa Wasukuma eneo la Migato, Itimila. |
| Katibu wa Itikadi na Uebnezi wa CCM, Nape Nnauye akinywa kahawa katika Kijiji hicho. KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE |
| Kinana akikagua moja ya vyumba vya madarasa katika Shule ya Sekondari ya Kata ya Kanadi katika Kijiji cha Nanga wilauyani Itimila. |
| Mwenyekiti wa UVCCM, Mkoa wa Simiyu,Njalu Silanga akitangaza kuchangia fedha kwa ajili ya kuweka kuweka umeme wa jua pamoja na kununua TV kwa ajuli ya shule ya Kanadi wilayani Itmila. |
| Kinana akiondoka baada ya kukagua Zahanati ya Nangale, wilayani Itimila. |
| Kinana akiwa amekaa huku akiwa amaevalia kitemi na fimbo yake. |
| Akinywa maji kwa kutumia kikombe cha jadi. |
| Kinana na viongozi wengin wakila chakula cha asili cha kabila la wasukuma cha Mchembe kinachotokana na viazi vilivuokaushwa. |
| Kinana akisaidia kupiga plasta jengo la Ofisi za Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya mpya ya Itimila. |
| Kinana akiapandamtu katika kiwanja patakapojengwa ofisi za Mkuu wa Wilaya mpya ya Itimila. |
| Makao Makuu ya Muda ya Ofisi Mkuu wa Wilaya ya Itimila |
| Kinana akiwa katika mkutano wa wandani na wanachama wa wilaya hiyo |
| Katibu wa Utikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye akihutubia katika mkutano huo wa hadhara |
No comments:
Post a Comment