Mfungaji wa mabao 2 kati ya ma 4 ya Manchester United, Rooney (kulia) akiruka kwanja kumkwepa beki wa Bayer Levekusen, wakati wamchezo wa UEFA Champions League, uliomalizika hivi punde, Man U wakiwa ugenini. Bao la kwanza na la tatu yalifungwa na Wyne Rooney, katika dakika ya 22 na 70,
la pili Van Persie katika dakika ya 59 na la nne likafungwa na Valencia kwa mkwaju mkali, katika dakika ya 79 na mabao ya Levekrusen, yalifungwa na S. Rolfes katika dakika ya 54, na O. Toprak, katika dakika ya 88. Katika mchezo mwingine Real Madrid nao wameweza kuibuka na ushindi mnono wa mabao 6-1, dhidi ya Garatasalay, waliokuwa wakicheza katika dimba la nyumbani.


No comments:
Post a Comment