Wachezaji wa Manchester United, wakishikwa na butwaa baada ya kufungwa bao la pili na West Bromwich, katika mchezo wa ligi Kuu ya England 'Barclays Premier Ligue' uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Old Trafford. Katika mchezo huo Man U imepigwa mabao 2-1.

Kiungo wa Manchester United, Oliveira Anderson (wa pili kulia) akijaribu kupiga shuti langoni mwa Bromwich.
No comments:
Post a Comment