Baadhi ya wananchi wakiangalia vitenge vianavyotengenezwa kutoka China katika
maonyesho yanayoendelea kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
Mwakilishi wa kampuni ya Linghang (Shanghai) Lilian Rajabu akionesha
bidhaa ya mchele unaolimwa nchini China kwa baadhi ya wageni waliotembelea
banda lao la maonesho. Picha na Magreth Kinabo-Maelezo


No comments:
Post a Comment