Habari za Punde

*MARCOCHALI FOUNDATION YATOA SONG JIPYA LA SIJALEWA LEO

 MARCO CHALI FOUNDATION, imetoa wimbo mpya unaitwa SIJALEWA LEO.
MARCOCHALI FOUNDATION na ZANTEL imeanzisha EPIC OPEN MIC kwa nia ya kusaidia vipaji vya wasanii wachanga, na mpaka sasa imefanikisha round ya kwanza ambayo ilipata wasanii 28 waliofanya vizuri. Lakini walioimba kwenye wimbo huu (SIJALEWA LEO) ni baadhi ya wale washiriki 28 walipatikana kwenye ROUND YA KWANZA ya EPIC OPEN MIC ambao ni Jackson Michael (VanStar), Amiri (Amiri), Kulea Richard (Kulea), Scovia Derick (Unique), De'Cypha simony (DeCYPHA). Mdau, tunategemea ushirikiano wako kusaidia vijana hawa kufika sehemu nzuri kimuziki.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.