Habari za Punde

*MEGAN YOUNG WA PHILIPPINES NDIYE MISS WORLD 2013

Mrembo, Megan Young,  kutoka nchini Philippino, amefanikiwa kunyakua Taji la Mrembo wa Dunia (Miss World 2013) katika shindano kubwa lililomalizika saa chache zilizopita nchini Indonesia. Mshindi wa Pili katika Taji hilo ni Marine Lorphelin, kutoka nchini Ufaransa na watatu ni Carranzar NaaOkailey Shooter, kutoka nchini Ghana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.