Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya isiyo ya kiserikali inayoshughulikia masuala ya haki za kisheria ,maendeleo ya jamii na kiuchumi (DOLASED) Gidion Mandesi(katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu haki mradi wa haki za walemavu katika ukumbi wa Idara ya Habari –MAELEZO leo.Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa MAELEZO,Vincent Tiganya na kulia ni Afisa Mipango wa DOLASED Risala Msemo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya isiyo ya kiserikali inayoshughulikia masuala ya haki za kisheria ,maendeleo ya jamii na kiuchumi (DOLASED) Gidion Mandesi(kulia) akifafanua Sheria ya Watu Wenye Ulemavu namba 55(1) ya mwaka 2010 inayohusu vyombo vya habari hususan televisheni vinavyotakiwa kuweka wakalimani kwa ajili ya taarifa ya habari na matukio mengine ya kitaifa ili viziwi waweze kupata taarifa katika ukumbi wa Idara ya Habari –MAELEZO leo kwa kutumia maandishi ya nukta nundu.kulia ni mwandishi wa habari wa gazeti la majira , David John.


No comments:
Post a Comment