Afisa wa Benki ya NMB, Curthbert Zimbwe, akitoa maelezo kwa Wajasiriamali jinsi ya kupata mikopo midogo midogo kutoka Benki ya NMB. Wajasiriamali hao wanahudhuria mafunzo mbali mbali ya siku tatu Kwenye
viwanja vya Mnazi mmoja kutoka kwa wadau tofauti, NMB ikiwa ni miongoni mwa
wadau na wafadhili wakubwa wa mafunzo hayo.
Afisa wa Benki ya NMB Abdul Kandoro, akiwaonyesha
wajasiriamali kadi ya Benki ya NMB, ambayo mteja anaipata papo hapo kwa kufungua
akaunti ya Chap Chap. Wajasiriamali hao wanahudhuria mafunzo mbali mbali ya
siku tatu Kwenye viwanja vya Mnazi mmoja kutoka kwa wadau tofauti NMB
ikiwa miongoni mwa wadau na wafadhili wakubwa wa mafunzo hayo.
No comments:
Post a Comment