Habari za Punde

*RAIS MSTAAFU ATEMBELEWA NA WAGENI MBALIMBALI NYUMBANI KWAKE

 Rais Msataafu Mh. Benjamin Mkapa (alienyanyua mkono mbele) leo nyumbani kwake jijini Dar es Salaam  akiongea na wageni wake jana nyumbani kwake jijini Dar es Salaam walipokwenda kumtembelea. (Pichani mbele mwenye  Kaunda suti ya cream) ni Mkuu wa Chuo cha Diplomasia Balozi Mohammed Omari Maundi.
 Rais Mstaafu Mh. Benjamin Mkapa (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene (kulia), jana jijini Dar es Salam walipokwenda  kumtembelea.(pichani katikati) Ni Mkuu wa chuo cha Diplomasia nchini Balozi Mohammed Omari Maundi.
Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa (wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake waliomtembelea nyumbani kwake jana.  Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.