Habari za Punde

*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AAGWA NA BALOZI WA ETHIOPIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkaribisha kwa mazungumzo Balozi mpya wa Tanzania nchini Ethiopia, Naimi S.H. Azizi, ambaye alifika Ikulu Mjini Zanzibar le mchana kwa ajili ya kumuaga, baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.