Habari za Punde

*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena L.Tax, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kujitambulisha kwa Rais, baada ya kuteuliwa kushika wadhifa wake huo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana  na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena L.Tax,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kujitambulisha kwa Rais, baada ya kuteuliwa kushika wadhifa wake huo. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.