Habari za Punde

*TBL YATOA MSAADA WA FULANA 1000 WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI

 Mkurugenzi wa Uhussiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania, Steve Kilindo (kulia) akimkabidhi moja kati ya fulana 1,000 zenye thamani ya sh. milioni 9 , Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani. Makabidhiano hayo yalifanyika jana jijini Dar es Salaam.

Kilindo akizungumza baada ya kukabidhi

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.