Habari za Punde

*TMA YATOA TAHADHARI KWA WANANCHI KUTOKEA KWA KIMBUNGA NCHINI

Mkurugenzi wa Mamlaka ya hali ya hewa TMA, Dkt. Hamza Kabelwa, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu mabadiliko ya hali yabhewa, wakati akitoa tahadhari kwa wananchi kuhusu kuwepo kwa Kimbunga katikati ya Bahari kitakachosababisha mvua nyingi za muda mfupi.

Kwa maana hiyo Mamlaka imewataka wananchi na wakulima wa baadhi ya mikoa hasa ya Kaskazini mwa nchi na iliyopo Ziwa Victoria kupanda mazao yanayostahimili ukame na kukomaa mapema. Picha na Miraji Msala.
 Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo uliofanyika kwenye Ofisi za TMA, Ubungo Plaza jana.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya hali ya hewa TMA, Dkt. Hamza Kabelwa (kushoto) akiendelea kutoa ufafanuzi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.