ENZI HIZO:- huyu si mwingine bali ni mwanamuziki wa bendi ya Fm Academia, Patcho Mwamba, akiwa na my Naniliu wake, wakaati huo bendi ya Fm Academia ikiwakilishwa na wanamuziki kama Patceko Mbongo, Sergie Mwila, Ndanda Cosovo, Chai Jaba na wengine wengi.
MOROCCO YAKWAMA KWA MALI, ZATOKA SARE 1-1
-
WENYEJI, Morocco wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Mali katika
mchezo wa Kundi A Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 usiku
huu U...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment