USIKOSE Nakala yako ya Gazeti jipya la Michezo na Burudani la STRAIKA, kila Jumapili. Ndani ya gazeti la STRAIKA utapata habari nyingi za kimichezo, uchambuzi wa kina wa michezo na burudani, safu ya BARIZI la IBRA POZA, kona ya Mzee wa Kiminyio ya MADARAKA SELEMANI; Darasa la ABEID MZIBA na mengine mengi. STRAIKA limesheni. Ukiwa STRAIKA... Mataji ni yako!
IVORY COAST NA CAMEROON NGOMA DROO, ZAFUNGANA 1-1 MOROCCO
-
TIMU za Ivory Coast na Cameroon zimegawana pointi baada ya sare ya
kufungana bao 1–1 katika mchezo wa Kundi F Fainali za Kombe la Mataifa ya
Afrika (AFC...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment