Naibu Waziri Wizara ya Katiba
na Sheria Angellah Kairuki akionesha kijitabu cha “Mwongozo wa Utawala Bora” alichokizindua
leo makao makuu ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) mtaa wa Luthuli
jijini Dar es Salaam.
Mwenyeki wa Tume ya
Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Amiri Manento (Jaji Kiongozi Msaafu)
akimkaribisha mgeni rasmi Naibu Waziri Wizara ya Katiba na Sheria Angellah
Kairuki na wageni waalikwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Kijitabu cha “Mwongozo
wa Utawala Bora” uliofanyika makao makuu ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala
Bora (THBUB) mtaa wa Luthuli leo jijini Dar es Salaam. (Katikati) ni Naibu Waziri
Wizara ya Katiba na Sheria Angellah Kairuki, Wa kwanza kushoto ni Makamu
Mwenyeki wa THBUB Mahfoudha Alley Hamid.
Picha ya pamoja ya Naibu
Waziri Wizara ya Katiba na Sheria Angellah Kairuki baada ya kuzindua Kijitabu
cha “Mwongozo wa Utawala Bora” uliofanyika makao makuu ya Tume ya Haki za Binadamu
na Utawala Bora (THBUB) mtaa wa Luthuli leo jijini Dar es Salaam. Picha zote na Eleuteri
Mangi- Maelezo
No comments:
Post a Comment