Habari za Punde

*YANGA YAIBANJUA RUVU SHOOTING BAO 1-0 UWANJA WA TAIFA

Kutoka Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, timu ya Yanga, leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting, bao lililofungwa na Hamis Kiiza katika dakika ya 62, ikiwa ni kazi nzuri ya Kiungo Athuman Idd 'Chuji; aliyetokea benchi kuchukua nafasi ya Frank Domayo, na juhudi za mshambuliaji Mrisho Khalfan Ngasa, aliyefanya kazi nzuri iliyomaliziwa na Hamis Kiiza 'Diego'. Kwa matokeo hayo sasa Yanga imefikisha jumla ya Pointi 9,ambapo itakuwa imesogea katika nafasi ya tatu, huku ikitegemea pia na matokeo yote na mchi za leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.