Habari za Punde

*ANAMTAFUTA BABA YAKE MZAZI WALIYEPOTEZANA NAYE MUSOMA

Jina langu ni Cosmas Hans Moses (22) na dada yangu anaitwa Aneth Hans Moses (24), kwa sasa naishi mwanza. 

Ninaemtafuta ni Baba yetu mzazi anaitwa Hans Moses Mwakyusa, zamani alikua anaishi Kiabakari Musoma vijijini na huko ndiko tulikopotezana mimi nikiwa mdogo kabisa kwa hiyo simfaham hata kwa sura na hata nikimuona. 

Kwa sasa nasikia anaishi Kyela Mbeya pia ni mfanya biashara ila sijui anafanya biashara gani.

Naomba msaada wenu ili niweze kuonana tena na baba yangu mzazi mawasiliano yangu ni 0765-684572

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.