Habari za Punde

*KIJANA APATA KIPONDO CHA MBWA MWIZI KISA DEKI YAMPONZA

Kibaka jina halikufahamika jana alipokea kichapo kutoka kwa wananchi wenye hasira huko Kigogo Sambusa, mto Msimbazi baada ya kusadikiwa ameiba deki.
Kipondo kikiendelea.........Picha zote na Miraji Msala wa Sufianimafoto Blog
Askari wa usalama barabaran akijaribu kuokoa maisha ya kijana huyo kwa kumpeleka kituo cha polisi lakini haikuwezekana kutokana na wananchi kuwa na hasira na kumzidi nguvu Askari huyo.
Hapa ni sawa sawa  na mtu mzima unapozidiwa ukaamua kujificha kwenye kichaka cha Mchicha, hapa Kijana huyo akiwa amejificha chini ya mtaro kuokoa maisha yake, ambapo kutokana na kipondo kitakatifu alichokwishakipata,ahapa anaona ni bonge la 'Chimbo eti haonekani'.
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kushuhudia tukiom hilo...

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.