Habari za Punde

* KIPINDI MAALUM TOKA SWAHILI TV MAZISHI YA BI. MARTHA SHANI NCHINI TANZANIA

Tunawaletea kipindi maalum cha Mazishi ya mpendwa na kipenzi chetu Bi. Martha Shani aliyefariki ghafla nchini Marekani na kuja Kuzikwa nyumbani Tanzania. Katika Kipindi hiki utaona matukio mbalimbali katika safari ya mwisho ya Bi. Martha Shani kuanzia mwili kuwasili Airport Dar es Salaam hadi Singida, Tanzania.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.