Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MAJADILIANO, WIKI YA SERA ZA KUONDOA UMASKINI JIJINI DAR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo. 
 Baadhi ya wadau walioshiriki katika mkutano huo wa majadiliano.
 Naibu Waziri wa Fedha Saada Salum,akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo, kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kwa ufunguzi.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya Viongozi na wadau katika na Mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo.
 Baadhi ya wadau walioshiriki katika mkutano huo wa majadiliano.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Serikali wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere kwa ajili kufungua mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DKt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Lennarth Hjelmaker, wakati akiondoka kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere baada ya kufungua rasmi Mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika jijini Dar es Salaam, leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.