Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kikao cha ufunguzi cha wakuu wa nchi za Jumuiya ya Madola jijini Colombo Srilanka leo asubuhi.kushoto ni Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza William Hague. Picha na Freddy Maro
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(Watatu kushoto mbele) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine wa nchi Jumuiya ya Madola wakiongozwa na mwana wa malkia wa Uingereza Prince Charles of Wales aliyekaa kwenye viti wapili kutoka kulia.Wapili kushoto aliyeketi ni mwenyeji wa mkutano huo Rais wa Srilanka Mahinda Rajapaksa wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika jijini Colombo,Srilanka leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.