Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AKUTANA NA MJUMBE MAALUMU WA KATIBU MKUU WA UN

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Rais wa Zamani wa Ireland ambaye sasa ni mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa UN eneo la maziwa makuu Bibi Mary Robinson na kufanya nae mazungumzo jijini Dar es Salaam leo. Picha na Freddy Maro
Rais Kikwete,akiwa katika mazungumzo na Rais wa Zamani wa Ireland ambaye sasa ni mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa UN eneo la maziwa makuu Bibi Mary Robinson.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.