Habari za Punde

*SHABIKI WA YANGA 'STIVE' KUIBUKIA KATIKA FILAMU MPYA YA 'NIMEKUBALI KUOLEWA'


Shabiki wa soka wa timu ya Yanga, aliyejizolea umaarufu mkubwa kwa kulia uwanjani, 'Steven' ameamua kujitosa katika Tasnia ya filamu, ambapo ataanza kuonekana rasmi katika Luninga mbalimbali hivi karibuni baada ya kushiriki katika Filamu mpya ya 'Nimekubali kuolewa' inayoandaliwa na msanii nguli, Dkt. Cheni.

Akielezea maudhui ya filam hiyo, Dkt. Cheni,alisema kuwa ameamua kuja ki kiviungine baada ya kukaa kando kwa mwaka mzima,akiumiza kichwa kuandaa kazi hiyo. Aidha Cheni alisema kuwa katika filamu hiyo pia amewashirikisha baadhi ya nyota wa filam duniani kutoka nchini China, ambaye atakuwa ni Mchina wa kwanza kuigiza katika filamu za Kitanzania.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.