Habari za Punde

*TAIFA STARS YASHINDWA NYUMBANI YATOKA SARE YA 0-0 NA ZIMBAMBWE

Mshambuliaji wa timu ya Taifa 'Taifa Stars', Mbwana Samatta, (kulia) akichuana kuwania mpira na beki wa Zimbawe, Simba Sithole, wakati wa mchezo wa Kirafiki wa Kimataifa uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo jioni. Katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.
Shomari Kapombe,akiruka kupiga kichwa mbele ya mabeki wa Zimbambwe na kukosa bao katika dakika ya 20.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.