Habari za Punde

*WADAU WA UDOM WALIPOTUNUKIWA NONDOZ ZAO MWISHO MWA WIKI KATIKA CHUO KIKUU CHA UDOM

 Wahitimu wa Shahada mbalimbali kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakiwa katika picha ya Pamoja mara baada ya kutunukiwa shahada zao Mwishoni mwa wiki iliyopita katika mahafali ya nne ya Chuo hicho yaliyofanyika katika Viwanja vya Chimwaga. Kutoka Kushoto ni Mdau Isabela, Hashim, Hashim Mzule na Rafiki yao wakiwa na furaha mara baada ya kuhitimu masomo yao ya shahada ya kwanza.
 Wahitimu wa shahada mbalimbali wakijipongeza mara baada ya kuhitimu rasmi safari yao ya masomo ya shahada za kwanza ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) mara baada ya kutunukiwa shahada zao mwishoni mwa wiki.
 Happy Mengi (katikati) akifungua shampeni pamoja na wadogo zake waliohitimu masomo yao ya Shahada ya Kwanza. Kutoka Kushoto ni Mariam na Wa Kwanza kulia ni Victor Mengi
Wahitimu wakikata Keki wakati wa tafrija fupi ya kuwapongeza.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.