Habari za Punde

*WAREMBO WAANZA KUJINOA TAYARI KWA SHINDANO LA MISS TANZANIA USA PAGEANT JUMAMOSI NOV 30


























Lady Kate, Pamela, Ma Winny na Asha katika picha ya pamoja na Mamiss Tanzania USA.
MaWinny Casey Mkurugenzi na mwanzilishi wa Miss Tanzania USA Pageant katika picha ya pamoja na mratibu wa Miss Tanzania USA Pageant, Asha Nyang'anyi (kulia)
Mamiss Tanzania USA Pageant wakimsikiliza Lady Kate mkurugenzi na mwanzilishi wa Miss Africa USA Pageant alipokuwa. KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE
Sham Manka kutoka Massachusetts akijieleza.
Aeesha Kamala kutoka Maryland akijieleza.
Joy Kalemera kutoka New Jersey akijieleza.
Namala Elias kutoka Maryland akijieleza.
Alice Mhina kutoka Maryland akijieleza.
Hellena Nyerere kutoka Maryland akijieleza.
Faith Kaasha kutoka Alabama akijieleza.
Julia Nyerere kutoka Maryland akijieleza.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.