Habari za Punde

*KILIMANJARO STARS YAITANDIKA SOMALI BAO 1-0 MICHUANO YA CHALLENGE

 Beki wa Kilimanjaro Stars, Erasto Nyoni (kulia) akichuana kuwania mpira na Hassan Ali Roble wa Somali, wakati wa mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge mchana wa leo, Uwanja wa Nyayo, Nairobi, Kenya. katika mchezo huo Kilimanjaro Stars ilishinda bao 1-0.
Haroun Chanongo wa Kilimanjaro Stars (katikati) akiwachachafya mabeki wa Somalia, na kumpiga tobo beki wa Somalia, Aden Hussein Ibrahim (kushoto). Picha kwa hisani ya Bin Zubeiry

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.